Hii ni programu tumishi isiyohitaji mtandao (offline application) kwa ajili ya kurahisisha upatikanaji wa nyimbo za Kristo zote za kiadventista (SDA Swahili hymnal) kama zilivyo pangiliwa katika kitabu.Program hii ya Nyimbo za Kristo inakuja ikiwa ina mp3 ya kila wimbo isipokua nyimbo chache tu, Pia program itamurahisishia mtumiaji kuweza kufahamu namba ya wimbo husika katika vitabu vingine (kwamfano kitabu kikubwa cha Nyimbo za Kristo)